The Bible Software
bible.softwareMikaMika 1 › Mika 1:6

Mika 1:6

“Kwa hiyo nitaufanya Samaria kuwa lundo la kokoto, 2 mahali pa kuotesha mizabibu. 1 Nitayamwaga mawe yake katika bonde 2 na kuacha wazi misingi yake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore I will make Samaria as an heap of the field, and as plantings of a vineyard: and I will pour down the stones thereof into the valley, and I will discover the foundations thereof.

In Context

5Yote haya ni kwa sababu ya kosa la Yakobo, 2 ni kwa sababu ya dhambi za nyumba ya Israeli. 1 Kosa la Yakobo ni lipi? 2 Je, sio Samaria? 1 Je, mahali pa juu pa Yuda pa kuabudia miungu ni nini? 2 Je, sio Yerusalemu? 1

7Sanamu zake zote 2 zitavunjwa vipande vipande; 1 zawadi zake zote za Hekalu 2 zitachomwa kwa moto; 2 nitaharibu vinyago vyake vyote. 1 Kwa kuwa alikusanya zawadi zake 2 kutokana na ujira wa kahaba, 1 nazo zitatumika tena 2 kulipa mishahara ya kahaba.” 1 Kulia Na Kuomboleza 1

Read all of Mika 1

Cross References

2 Kings 18:9Mwaka wa nne wa Mfalme Hezekia, ambao ulikuwa mwaka wa saba wa Hoshea mwana wa Ela kutawala Israeli, Shalmanesa mfalme wa Ashuru alikwenda kuishambulia Samaria na kuuzunguka kwa majeshi.

2 Kings 19:25“ ‘Je, hujasikia? 2 Zamani sana niliamuru hili. 1 Siku za kale nilipanga hili; 2 sasa nimelifanya litokee, 1 kwamba umegeuza miji yenye ngome 2 kuwa malundo ya mawe. 1

Isaiah 25:12Atabomoa kuta ndefu za maboma yako 2 na kuziangusha chini, 1 atazishusha chini ardhini, 2 mpaka mavumbini kabisa.

Jeremiah 51:25“Mimi niko kinyume nawe, ee mlima unaoharibu, 2 wewe uangamizaye dunia yote,” 4 asema Bwana. 1 “Nitanyoosha mkono wangu dhidi yako, 2 nikuvingirishe kutoka kwenye kilele cha mwamba, 2 na kukufanya mlima ulioteketezwa kwa moto. 1

Lamentations 4:1Jinsi dhahabu ilivyopoteza mngʼao wake, 2 dhahabu iliyo safi haingʼai! 1 Vito vya thamani vimetawanywa 2 kwenye mwanzo wa kila barabara. 1

Hosea 13:16Watu wa Samaria ni lazima wabebe hatia yao, 2 kwa sababu wameasi dhidi ya Mungu wao. 1 Wataanguka kwa upanga; 2 watoto wao wadogo watatupwa kwa nguvu ardhini, 2 wanawake wao walio na mimba watatumbuliwa.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mika 1:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mika 1:5Mika 1Mika 1:7 →