Micah 2:4
Siku hiyo watu watawadhihaki, 2 watawafanyia mzaha 2 kwa wimbo huu wa maombolezo: 1 ‘Tumeangamizwa kabisa; 2 mali ya watu wangu imegawanywa. 1 Ameninyangʼanya! 2 Ametoa mashamba yetu kwa wasaliti.’ ” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 23:18Ndipo Balaamu akasema ujumbe wake: 1 “Balaki, inuka na usikilize, 2 nisikie mimi, wewe mwana wa Sipori. 1
Numbers 24:15Kisha Balaamu akatoa ujumbe wake: 1 “Ujumbe wa Balaamu mwana wa Beori, 2 ujumbe wake yeye ambaye jicho lake linaona vizuri; 1
2 Samuel 1:17Daudi akafanya maombolezo haya kuhusu Sauli na Yonathani mwanawe,
2 Chronicles 35:25Nabii Yeremia akatunga maombolezo kwa ajili ya kifo chake, nao waimbaji wote, wanaume kwa wanawake, hufanya ukumbusho wa Yosia katika maombolezo hadi leo. Haya yakafanywa desturi katika Israeli, nayo yameandikwa katika Maombolezo.
Job 27:1Ndipo Ayubu akaendelea na hoja yake, akasema: 1
Isaiah 14:4utaichukua dhihaka hii dhidi ya mfalme wa Babeli: 1 Tazama jinsi mtesi alivyofikia mwisho! 2 Tazama jinsi ghadhabu yake kali ilivyokoma! 1