The Bible Software
bible.softwareMicahMicah 4 › Micah 4:7

Micah 4:7

Nitawafanya walemavu kuwa mabaki, 2 wale waliofukuzwa kuwa taifa lenye nguvu. 1 Bwana atatawala juu yao katika Mlima Sayuni 2 kuanzia siku hiyo na hata milele. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And I will make her that halted a remnant, and her that was cast far off a strong nation: and the LORD shall reign over them in mount Zion from henceforth, even for ever.

In Context

6“Katika siku hiyo,” asema Bwana, 1 “nitawakusanya walemavu; 2 nitawakusanya walio uhamishoni 2 na wale niliowahuzunisha. 1

8Lakini kuhusu wewe, ee mnara wa ulinzi wa kundi, 2 ee ngome ya Binti Sayuni, 1 milki ya awali itarudishwa kwako, 2 ufalme utakuja kwa Binti Yerusalemu.” 1

Read all of Micah 4

Cross References

Isaiah 6:13Hata kama sehemu ya kumi ya watu watabaki katika nchi, 2 itaharibiwa tena. 1 Lakini kama vile mvinje na mwaloni 2 ibakizavyo visiki inapokatwa, 2 ndivyo mbegu takatifu 2 itakavyokuwa kisiki katika nchi.”

Isaiah 10:21Mabaki watarudi, + 10:21 Kiebrania ni Shear-Yashubu, pia 22. mabaki wa Yakobo 2 watamrudia Mungu Mwenye Nguvu. 1

Isaiah 24:23Mwezi utatiwa haya, nalo jua litaaibishwa; 2 kwa maana Bwana Mwenye Nguvu Zote atawala 1 juu ya Mlima Sayuni na katika Yerusalemu, 2 tena mbele ya wazee wake kwa utukufu.

Isaiah 60:22Aliye mdogo kwenu atakuwa elfu, 2 mdogo kuliko wote atakuwa taifa lenye nguvu. 1 Mimi ndimi Bwana; 2 katika wakati wake nitayatimiza haya upesi.”

Ezekiel 43:7Akasema, “Mwanadamu, hapa ni mahali pa kiti changu cha enzi na mahali pa kuweka nyayo za miguu yangu. Hapa ndipo nitakapoishi miongoni mwa Waisraeli milele. Kamwe nyumba ya Israeli hawatalinajisi tena Jina langu takatifu, yaani, wao wala wafalme wao, kwa ukahaba wao na kwa sanamu zao zisizokuwa na uhai za wafalme wao katika mahali pao pa juu pa kuabudia miungu.

Daniel 7:27Ndipo ufalme, mamlaka na ukuu wa falme chini ya mbingu yote utakabidhiwa kwa watakatifu, watu wa Yeye Aliye Juu Sana. Ufalme wake utakuwa ufalme wa milele, nao watawala wote watamwabudu na kumtii yeye.’

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Micah 4:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Micah 4:6Micah 4Micah 4:8 →