Micah 5:13
Nitaangamiza vinyago vyenu vya kuchonga 2 na mawe yenu ya ibada yatoke katikati yenu; 1 hamtasujudia tena 2 kazi ya mikono yenu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Nitaangamiza uchawi wenu 2 na hamtapiga tena ramli. 1
14Nitangʼoa nguzo za Ashera katikati yenu 2 na kubomoa miji yenu. 1
Cross References
Isaiah 2:8Nchi yao imejaa sanamu, 2 wanasujudia kazi za mikono yao, 2 vitu vile vidole vyao vimevitengeneza. 1
Isaiah 27:9Kwa hili, basi, hatia ya Yakobo itafanyiwa upatanisho, 2 nalo hili litakuwa matunda ya utimilizo wa kuondolewa kwa dhambi yake: 1 Wakati atakapoyafanya mawe yote ya madhabahu 2 kuwa kama mawe ya chokaa yaliyopondwa vipande vipande, 1 hakuna nguzo za Ashera au madhabahu za kufukizia uvumba 2 zitakazobaki zimesimama. 1
Ezekiel 16:41Watachoma nyumba zako na kutekeleza adhabu juu yako machoni pa wanawake wengi. Nitakomesha ukahaba wako, nawe hutawalipa tena wapenzi wako.
Ezekiel 37:23Hawatajitia tena unajisi kwa sanamu zao na vinyago vyao visivyo na maana wala kwa makosa yao yoyote, kwa maana nitawaokoa kutoka dhambi zao zote zilizowarudisha nyuma, nami nitawatakasa. Wao watakuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wao.
Hosea 14:3Ashuru hawezi kutuokoa, 2 hatutapanda farasi wa vita. 1 Kamwe hatutasema tena ‘Miungu yetu’ 2 kwa kile ambacho mikono yetu wenyewe imetengeneza, 2 kwa kuwa kwako wewe yatima hupata huruma.” 1
Zechariah 13:2“Katika siku hiyo, nitayakatilia mbali majina ya sanamu kutoka nchi, nayo hayatakumbukwa tena,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. “Nitaondoa manabii wao pamoja na roho ya uchafu katika nchi.