Mika 6:12
Matajiri wake ni wajeuri; 2 watu wake ni waongo 1 na ndimi zao zinazungumza 2 kwa udanganyifu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Kwa hiyo, nimeanza kukuharibu, 2 kuwaangamiza kwa sababu ya dhambi zenu. 1
Cross References
Psalms 120:2Ee Bwana, uniokoe kutoka midomo ya uongo 2 na ndimi za udanganyifu. 1
Isaiah 3:8Yerusalemu inapepesuka, 2 Yuda inaanguka; 1 maneno yao na matendo yao ni kinyume na Bwana, 2 wakiudharau uwepo wake uliotukuka. 1
Isaiah 59:3Kwa maana mikono yenu imetiwa mawaa kwa damu 2 na vidole vyenu kwa hatia. 1 Midomo yenu imenena uongo, 2 nazo ndimi zenu zimenongʼona mambo maovu. 1
Jeremiah 5:26“Miongoni mwa watu wangu wamo walio waovu 2 wanaovizia kama watu wanaotega ndege, 1 na kama wale wanaoweka mitego 2 kuwakamata watu. 1
Jeremiah 9:2Laiti ningekuwa na nyumba 2 ya kukaa wasafiri jangwani, 1 ningewaacha watu wangu 2 na kwenda mbali nao, 1 kwa kuwa wote ni wazinzi, 2 kundi la watu wadanganyifu. 1
Ezekiel 22:6“ ‘Ona jinsi kila mkuu wa Israeli aliyeko ndani yako anavyotumia nguvu zake kumwaga damu.