Mika 6:3
“Watu wangu, nimewatendea nini? 1 Nimewalemea kwa jinsi gani? Mnijibu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
O my people, what have I done unto thee? and wherein have I wearied thee? testify against me.
In Context
Cross References
Psalms 51:4Dhidi yako, wewe peke yako, nimetenda dhambi 2 na kufanya yaliyo mabaya machoni pako, 1 ili uthibitike kuwa wa kweli unenapo, 2 na kuwa na haki utoapo hukumu. 1
Psalms 81:13“Laiti kama watu wangu wangalinisikiliza, 2 kama Israeli wangalifuata njia zangu, 1
Isaiah 43:23Hujaniletea kondoo kwa ajili ya sadaka za kuteketezwa, 2 wala kuniheshimu kwa dhabihu zako. 1 Sikukulemea kwa sadaka za nafaka 2 wala kukuchosha kwa kuhitaji uvumba. 1
Jeremiah 2:31“Enyi wa kizazi hiki, tafakarini neno la Bwana: 1 “Je, nimekuwa jangwa kwa Israeli 2 au nchi ya giza kuu? 1 Kwa nini watu wangu wanasema, ‘Sisi tuko huru kuzurura, 2 hatutarudi kwako tena’? 1
Romans 3:4La hasha! Mungu na aonekane mwenye haki, na kila mwanadamu kuwa mwongo, kama ilivyoandikwa: 1 “Ili uthibitike kuwa wa kweli unaponena, 2 na ukashinde utoapo hukumu.”