Nahum 2:5
Anaita vikosi vilivyochaguliwa, 2 lakini bado wanajikwaa njiani. 1 Wanakimbilia haraka kwenye ukuta wa mji, 2 ile ngao ya kuwakinga imetayarishwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Malango ya mto yamefunguliwa wazi, 2 na jumba la kifalme limeanguka. 1
Cross References
Isaiah 21:5Wanaandaa meza, 2 wanatandaza mazulia, 2 wanakula, wanakunywa! 2 Amkeni, enyi maafisa, 2 zitieni ngao mafuta!
Jeremiah 50:29“Waiteni wapiga mishale dhidi ya Babeli, 2 wote wale wavutao upinde. 1 Pigeni kambi kumzunguka kabisa, 2 asitoroke mtu yeyote. 1 Mlipizeni kwa matendo yake; 2 mtendeeni kama alivyotenda. 1 Kwa kuwa alimdharau Bwana, 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1
Nahum 3:3Wapanda farasi wanaenda mbio, 2 panga zinameremeta, 2 na mikuki inangʼaa! 1 Majeruhi wengi, 2 malundo ya maiti, 1 idadi kubwa ya miili isiyohesabika, 2 watu wanajikwaa juu ya mizoga: 1
Habakkuk 1:8Farasi wao ni wepesi kuliko chui, 2 na wakali kuliko mbwa mwitu wakati wa machweo. 1 Askari wapanda farasi wao huenda mbio; 2 waendesha farasi wao wanatoka mbali. 1 Wanaruka kasi kama tai ili kurarua; 2