Nahum 2:4
Magari ya vita yanafanya msukosuko barabarani, 2 yakikimbia nyuma na mbele uwanjani. 1 Yanaonekana kama mienge ya moto; 2 yanakwenda kasi kama umeme. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Proverbs 31:21Theluji ishukapo, hana hofu kwa ajili ya watu wa nyumbani mwake, 2 kwa maana wote wamevikwa nguo za kutia joto. 1
Isaiah 66:15Tazama, Bwana anakuja na moto, 2 magari yake ya vita ni kama upepo wa kisulisuli, 1 atateremsha hasira yake kwa ghadhabu kali, 2 na karipio lake pamoja na miali ya moto. 1
Ezekiel 26:10Farasi zake zitakuwa nyingi sana kiasi kwamba utafunikwa na mavumbi watakayotimua. Kuta zako zitatikisika kwa mshindo wa farasi wa vita, magari makubwa na magari ya vita wakati aingiapo malango yako kama watu waingiao mji ambao kuta zake zimebomolewa kote.
Nahum 3:2Kelele za mijeledi, 2 vishindo vya magurudumu, 1 farasi waendao mbio 2 na mshtuo wa magari ya vita! 1