Nahum 2:6
Malango ya mto yamefunguliwa wazi, 2 na jumba la kifalme limeanguka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The gates of the rivers shall be opened, and the palace shall be dissolved.
In Context
Cross References
2 Peter 3:10Lakini siku ya Bwana itakuja kama mwizi. Ndipo mbingu zitatoweka kwa kishindo kikuu; navyo vitu vya asili vitateketezwa kwa moto, nayo dunia na kila kitu kilichomo ndani yake kitaunguzwa.