Isaiah 21:5
Wanaandaa meza, 2 wanatandaza mazulia, 2 wanakula, wanakunywa! 2 Amkeni, enyi maafisa, 2 zitieni ngao mafuta!
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Prepare the table, watch in the watchtower, eat, drink: arise, ye princes, and anoint the shield.
In Context
6Hili ndilo Bwana analoniambia: 1 “Nenda, weka mlinzi, 2 na atoe taarifa ya kile anachokiona. 1
Cross References
Isaiah 13:2Twekeni bendera juu ya mlima usio na kitu, 2 wapazieni sauti, 1 wapungieni mkono waingie 2 katika malango ya wenye heshima. 1
Isaiah 22:13Lakini tazama, kuna furaha na sherehe, 2 kuchinja ngʼombe na kuchinja kondoo, 2 kula nyama na kunywa mvinyo! 1 Mnasema, “Tuleni na kunywa, 2 kwa kuwa kesho tutakufa!”
Jeremiah 51:11“Noeni mishale, 2 chukueni ngao! 1 Bwana amewaamsha wafalme wa Wamedi, 2 kwa sababu nia yake ni kuangamiza Babeli. 1 Bwana atalipiza kisasi, 2 kisasi kwa ajili ya Hekalu lake. 1
Jeremiah 51:39Lakini wakati wakiwa wameamshwa, 2 nitawaandalia karamu 2 na kuwafanya walewe, 1 ili wapige kelele kwa kicheko, 2 kisha walale milele na wasiamke,” 4 asema Bwana. 1
Daniel 5:1Mfalme Belshaza alifanya karamu kubwa kwa ajili ya maelfu ya wakuu wake na akanywa mvinyo pamoja nao.