The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 24 › Isaya 24:9

Isaya 24:9

Hawanywi tena mvinyo pamoja na wimbo, 2 kileo ni kichungu kwa wanywaji wake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They shall not drink wine with a song; strong drink shall be bitter to them that drink it.

In Context

8Furaha ya matoazi imekoma, 2 kelele za wenye furaha zimekoma, 2 shangwe za kinubi zimenyamaza. 1

10Mji ulioharibiwa umekuwa ukiwa, 2 mlango wa kila nyumba umefungwa. 1

Read all of Isaya 24

Cross References

Psalms 69:12Wale wanaoketi mlangoni wananisimanga, 2 nimekuwa wimbo wa walevi. 1

Isaiah 5:11Ole wao wale waamkao asubuhi na mapema 2 wakikimbilia kunywa vileo, 1 wale wakawiao sana mpaka usiku, 2 mpaka wamewaka kwa mvinyo. 1

Isaiah 5:22Ole wao walio mashujaa kwa kunywa mvinyo, 2 nao walio hodari katika kuchanganya vileo, 1

Amos 8:3Bwana Mwenyezi asema, “Katika siku ile, nyimbo katika Hekalu zitageuka kuwa maombolezo. Miili mingi, mingi sana: itatupwa kila mahali! Kimya!” 1

Zechariah 9:15na Bwana Mwenye Nguvu Zote atawalinda. 1 Wataangamiza na kushinda 2 kwa mawe ya kutupa kwa kombeo. 1 Watakunywa na kunguruma kama waliolewa mvinyo; 2 watajaa kama bakuli linalotumika kunyunyizia 2 kwenye pembe za madhabahu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 24:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 24:8Isaya 24Isaya 24:10 →