Nahumu 3:19
Hakuna kitu kinachoweza kuponya jeraha lako; 2 jeraha lako ni la kukuua. 1 Kila anayesikia habari zako, 2 hupiga makofi kwa kuanguka kwako, 1 kwa kuwa ni nani ambaye hajaguswa 2 na ukatili wako usio na mwisho?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 10:6Ninamtuma dhidi ya taifa lisilomjua Mungu, 2 ninamtuma dhidi ya taifa linalonikasirisha, 1 kukamata mateka na kunyakua nyara, 2 pia kuwakanyaga chini kama matope ya barabarani. 1
Isaiah 37:11Hakika umesikia yale ambayo wafalme wa Ashuru wametenda kwa nchi zote, wakiwaangamiza kabisa. Je, wewe utaokolewa?
Jeremiah 10:22Sikilizeni! Taarifa inakuja: 2 ghasia kubwa kutoka nchi ya kaskazini! 1 Hii itafanya miji ya Yuda ukiwa, 2 makao ya mbweha. 1 Maombi Ya Yeremia 1
Jeremiah 30:13Hakuna yeyote wa kukutetea shauri lako, 2 hakuna dawa ya kidonda chako, 2 wewe hutapona. 1
Jeremiah 46:11“Panda hadi Gileadi ukapate zeri, 2 ee Bikira Binti wa Misri. 1 Lakini umetumia dawa nyingi bila mafanikio; 2 huwezi kupona. 1
Ezekiel 25:6Kwa kuwa hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Kwa kuwa umepiga makofi yako na kufanya kishindo kwa miguu, mkifurahia kwa mioyo yenu miovu juu ya yale mabaya yaliyoipata nchi ya Israeli,