Nahumu 3:9
Kushi + 3:9 Kushi ni Ethiopia. na Misri walikuwa nguvu zake zisizo na mpaka; 2 Putu na Libia walikuwa miongoni mwa wale walioungana naye. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Ethiopia and Egypt were her strength, and it was infinite; Put and Lubim were thy helpers.
In Context
Cross References
1 Chronicles 1:8Wana wa Hamu walikuwa: 2 Kushi, Misraimu, + 1:8 Yaani Misri. Putu na Kanaani. 1
Isaiah 20:5Wale waliotegemea Kushi na kujivunia Misri wataogopa na kuaibika.
Ezekiel 27:10“ ‘Watu wa Uajemi, Ludi na Putu 2 walikuwa askari katika jeshi lako. 1 Walitundika ngao zao na chapeo zao kwenye kuta zako, 2 wakileta fahari yako. 1
Ezekiel 30:5Kushi + 30:5 Kushi ndiyo Ethiopia. na Putu, Ludi na Arabia yote, Libya + 30:5 Libya ndiyo Kubu. na watu wa nchi ya Agano watauawa kwa upanga pamoja na Misri.