The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 28 › Numbers 28:5

Numbers 28:5

kila mmoja atolewe pamoja na sadaka ya nafaka sehemu ya kumi ya efa + 28:5 Sehemu ya kumi ya efa ni sawa na kilo moja. ya unga laini uliochanganywa pamoja na robo ya hini + 28:5 Robo ya hini ni sawa na lita moja. ya mafuta ya zeituni.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And a tenth part of an ephah of flour for a meat offering, mingled with the fourth part of an hin of beaten oil.

In Context

4Andaa mwana-kondoo mmoja asubuhi na mwingine jioni,

6Hii ni sadaka ya kawaida ya kuteketezwa iliyoanzishwa katika Mlima Sinai kama harufu nzuri ya kupendeza, sadaka iliyotolewa kwa Bwana kwa moto.

Read all of Numbers 28

Cross References

Exodus 16:36(Pishi moja ni sehemu ya kumi ya kipimo cha efa. + 16:36 Efa moja ni sawa na kilo 22.)

Leviticus 2:1“ ‘Mtu yeyote aletapo sadaka ya nafaka kwa Bwana, sadaka yake itakuwa ya unga laini. Atamimina mafuta juu yake, aweke uvumba juu yake,

Numbers 15:4ndipo yeye aletaye sadaka yake ataiweka mbele za Bwana sadaka ya nafaka, sehemu ya kumi ya efa + 15:4 Sehemu ya kumi ya efa ni sawa na kilo moja. ya unga laini uliochanganywa na robo ya hini + 15:4 Robo ya hini ni sawa na lita moja. ya mafuta.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 28:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 28:4Numbers 28Numbers 28:6 →