Hesabu 23:8
Nitawezaje kuwalaani, 2 hao ambao Mungu hajawalaani? 1 Nitawezaje kuwashutumu 2 hao ambao Bwana hakuwashutumu? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
How shall I curse, whom God hath not cursed? or how shall I defy, whom the LORD hath not defied?
In Context
Cross References
Numbers 22:12Lakini Bwana akamwambia Balaamu, “Usiende pamoja nao. Hupaswi kulaani watu hao, kwa kuwa wamebarikiwa.”
Numbers 23:23Hakuna uchawi dhidi ya Yakobo, 2 wala hakuna uaguzi dhidi ya Israeli. 1 Sasa itasemwa kuhusu Yakobo 2 na Israeli, ‘Tazama yale Mungu aliyotenda!’ 1
Isaiah 44:25“mimi huzipinga ishara za manabii wa uongo, 2 na kuwatia upumbavu waaguzi, 1 niyapinduaye maarifa ya wenye hekima, 2 na kuyafanya kuwa upuzi, 1