bible.software › Hesabu › Hesabu 24 › Hesabu 24:15
Hesabu 24:15
Kisha Balaamu akatoa ujumbe wake: 1 “Ujumbe wa Balaamu mwana wa Beori, 2 ujumbe wake yeye ambaye jicho lake linaona vizuri; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he took up his parable, and said, Balaam the son of Beor hath said, and the man whose eyes are open hath said:
In Context
14Sasa ninarudi kwa watu wangu. Lakini njoo, nikuonye kuhusu kile watu hawa watakachowatenda watu wako siku zijazo.” 1 Ujumbe Wa Nne Wa Balaamu
16ujumbe wake yeye ambaye husikia maneno ya Mungu, 2 ambaye ana maarifa kutoka kwa Aliye Juu Sana, 1 huona maono kutoka Mwenyezi, 2 ambaye huanguka kifudifudi 2 na ambaye macho yake yamefunguka: 1
Read all of Hesabu 24
Cross References
Numbers 23:18Ndipo Balaamu akasema ujumbe wake: 1 “Balaki, inuka na usikilize, 2 nisikie mimi, wewe mwana wa Sipori. 1
Job 27:1Ndipo Ayubu akaendelea na hoja yake, akasema: 1
This Verse In Other Editions
Study Hesabu 24:15