Hesabu 24:14
Sasa ninarudi kwa watu wangu. Lakini njoo, nikuonye kuhusu kile watu hawa watakachowatenda watu wako siku zijazo.” 1 Ujumbe Wa Nne Wa Balaamu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 24:17“Namwona yeye, lakini si sasa; 2 namtazama yeye, lakini si karibu. 1 Nyota itatoka kwa Yakobo, 2 fimbo ya ufalme itainuka kutoka kwa Israeli. 1 Atawaponda Wamoabu vipaji vya nyuso 2 na mafuvu yote ya wana wa Shethi. 1
Isaiah 24:22Watakusanywa pamoja 2 kama wafungwa waliofungwa gerezani, 1 watafungiwa gerezani 2 na kuadhibiwa baada ya siku nyingi. 1
Jeremiah 49:39“Lakini nitarudisha mateka wa Elamu 2 katika siku zijazo,” 4 asema Bwana.
Daniel 10:14Sasa nimekuja kukuelezea mambo yatakayowatokea watu wako wakati ujao, kwa maana maono hayo yanahusu wakati ambao haujaja bado.”
Micah 6:5Watu wangu, kumbukeni jinsi Balaki mfalme wa Moabu 2 alivyofanya shauri 2 na kile Balaamu mwana wa Beori alichojibu. 1 Kumbukeni safari yenu kutoka Shitimu mpaka Gilgali, 2 ili mfahamu matendo ya haki ya Bwana.” 1
2 Timothy 3:1Lakini yakupasa ufahamu jambo hili, kwamba siku za mwisho kutakuwa na nyakati za hatari.