Numbers 24:3
naye akatoa ujumbe wake: 1 “Ujumbe wa Balaamu mwana wa Beori, 2 ujumbe wake yeye ambaye jicho lake linaona vizuri; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 22:31Kisha Bwana akafungua macho ya Balaamu, naye akamwona malaika wa Bwana amesimama barabarani akiwa ameufuta upanga wake. Balaamu akainama, akaanguka kifudifudi.
Numbers 23:18Ndipo Balaamu akasema ujumbe wake: 1 “Balaki, inuka na usikilize, 2 nisikie mimi, wewe mwana wa Sipori. 1
Numbers 24:16ujumbe wake yeye ambaye husikia maneno ya Mungu, 2 ambaye ana maarifa kutoka kwa Aliye Juu Sana, 1 huona maono kutoka Mwenyezi, 2 ambaye huanguka kifudifudi 2 na ambaye macho yake yamefunguka: 1
1 Kings 22:19Mikaya akaendelea, “Kwa hiyo lisikie neno la Bwana: Nilimwona Bwana ameketi juu ya kiti chake cha enzi pamoja na jeshi lote la mbinguni likiwa limesimama kumzunguka upande wa kulia na wa kushoto.