Numbers 3:19
Koo za Wakohathi zilikuwa ni: 2 Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sons of Kohath by their families; Amram, and Izehar, Hebron, and Uzziel.
In Context
18Haya ndiyo yaliyokuwa majina ya koo za Wagershoni: 2 Libni na Shimei. 1
Cross References
Exodus 6:16Haya ndiyo majina ya wana wa Lawi kufuatana na orodha zao: Gershoni, Kohathi na Merari. Lawi aliishi miaka 137. 1
Exodus 6:20Amramu akamwoa Yokebedi, shangazi yake, ambaye alimzalia Aroni na Mose. Amramu aliishi miaka 137. 1
1 Chronicles 6:18Wana wa Kohathi walikuwa: 2 Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. 1
1 Chronicles 15:5Kutoka wazao wa Kohathi, 2 Urieli kiongozi na ndugu zake 120, 1
1 Chronicles 15:17Basi Walawi wakawaweka Hemani mwana wa Yoeli; kutoka miongoni mwa ndugu zake, Asafu mwana wa Berekia; kutoka miongoni mwa ndugu zao Wamerari, Ethani mwana wa Kushaiya;
1 Chronicles 23:18Wana wa Ishari: 2 Shelomithi alikuwa wa kwanza. 1