Numbers 3:33
Kwa Merari kulikuwa na koo za Wamahli na Wamushi; hizi zilikuwa koo za Merari.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
34Hesabu ya waume wote wenye umri wa mwaka mmoja au zaidi waliohesabiwa walikuwa 6,200.
Cross References
Numbers 3:20Koo za Wamerari zilikuwa ni: 2 Mahli na Mushi. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Walawi, kufuatana na jamaa zao.
1 Chronicles 6:19Wana wa Merari walikuwa: 2 Mahli na Mushi. 1 Zifuatazo ni koo za Walawi zilizoorodheshwa kufuatana na baba zao: 1