The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 5 › Numbers 5:23

Numbers 5:23

“ ‘Kuhani ataandika laana hizi kwenye kitabu, kisha atazioshea laana hizo kwenye yale maji machungu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the priest shall write these curses in a book, and he shall blot them out with the bitter water:

In Context

22Maji haya yaletayo laana na yaingie ndani ya mwili wako ili tumbo lako livimbe na paja lako lipooze.” + 5:22 Paja lipooze hapa ina maana ya kuwa tasa au kuharibu mimba. “ ‘Kisha mwanamke atasema, “Amen. Iwe hivyo.”

24Kuhani atamnywesha yule mwanamke yale maji machungu yaletayo laana, nayo maji haya yatamwingia na kumsababishia maumivu makali.

Read all of Numbers 5

Cross References

Exodus 17:14Kisha Bwana akamwambia Mose, “Andika mambo haya katika kitabu ili yakumbukwe, na uhakikishe kwamba Yoshua amesikia, kwa sababu nitafuta kabisa kumbukumbu la Amaleki chini ya mbingu.”

2 Chronicles 34:24‘Hivi ndivyo asemavyo Bwana: Nitaleta maafa juu ya mahali hapa na watu wake, laana zote zilizoandikwa ndani ya hicho kitabu ambazo zimesomwa mbele ya mfalme wa Yuda.

Psalms 51:1Ee Mungu, unihurumie, 2 kwa kadiri ya upendo wako usiokoma, 1 kwa kadiri ya huruma yako kuu, 2 uyafute makosa yangu. 1

Isaiah 43:25“Mimi, naam mimi, ndimi nizifutaye dhambi zako, 2 kwa ajili yangu mwenyewe, 2 wala sizikumbuki dhambi zako tena. 1

Jeremiah 51:60Yeremia alikuwa ameandika ndani ya kitabu kuhusu maafa yote yatakayoipata Babeli, yaani yote yaliyokuwa yameandikwa kuhusu Babeli.

1 Corinthians 16:21Mimi, Paulo, naandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 5:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 5:22Numbers 5Numbers 5:24 →