Numbers 7:13
Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzito wa shekeli 130, + 7:13 Shekeli 130 za fedha ni sawa na kilo 1.5. na bakuli moja la fedha la kunyunyizia lenye uzito wa shekeli sabini, + 7:13 Shekeli 70 za fedha ni sawa gramu 800. vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, vikiwa vimejazwa unga laini uliochanganywa na mafuta kama sadaka ya nafaka;
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 30:13Kila mmoja anayekwenda upande wa wale waliokwisha hesabiwa atatoa nusu shekeli, + 30:13 Nusu shekeli ni sawa na gramu 6. kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, ambayo ina uzito wa gera ishirini. + 30:13 Gera 20 ni sawa na shekeli moja au gramu 12. Hii nusu shekeli ni sadaka kwa Bwana.
Leviticus 2:1“ ‘Mtu yeyote aletapo sadaka ya nafaka kwa Bwana, sadaka yake itakuwa ya unga laini. Atamimina mafuta juu yake, aweke uvumba juu yake,
Leviticus 27:25Kila thamani lazima iwekwe kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, + 27:25 Shekeli moja ya mahali patakatifu ni sawa na gramu 11. gera ishirini kwa shekeli.
Numbers 7:73Sadaka aliyoleta ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzito wa shekeli 130, na bakuli moja la fedha la kunyunyizia lenye uzito wa shekeli sabini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, vikiwa vimejazwa unga laini uliochanganywa na mafuta kama sadaka ya nafaka;
Numbers 28:5kila mmoja atolewe pamoja na sadaka ya nafaka sehemu ya kumi ya efa + 28:5 Sehemu ya kumi ya efa ni sawa na kilo moja. ya unga laini uliochanganywa pamoja na robo ya hini + 28:5 Robo ya hini ni sawa na lita moja. ya mafuta ya zeituni.
1 Kings 7:43vitako kumi pamoja na masinia yake kumi; 1