Obadia 1:10
Kwa sababu ya jeuri uliyofanya dhidi ya ndugu yako Yakobo, 2 aibu itakufunika; 2 utaangamizwa milele. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 27:11Yakobo akamwambia Rebeka mama yake, “Lakini ndugu yangu Esau ana nywele mwilini, mimi nina ngozi nyororo.
Numbers 20:14Mose akawatuma wajumbe kutoka Kadeshi kwenda kwa mfalme wa Edomu, akisema: “Hili ndilo ndugu yako Israeli asemalo: Wewe unafahamu juu ya taabu zote ambazo zimetupata.
Psalms 69:7Kwa maana nimestahimili dharau kwa ajili yako, 2 aibu imefunika uso wangu. 1
Psalms 89:45Umezifupisha siku za ujana wake, 2 umemfunika kwa vazi la aibu. 1
Psalms 132:18Adui zake nitawavika aibu, 2 bali taji kichwani pake itangʼaa sana.”
Proverbs 17:5Yeye anaye mdhihaki maskini huonyesha dharau kwa Muumba wake; 2 yeyote afurahiaye maafa hataepuka kuadhibiwa. 1