Obadia 1:15
“Siku ya Bwana iko karibu 2 kwa mataifa yote. 1 Kama ulivyofanya, nawe utafanyiwa vivyo hivyo, 2 matendo yako yatakurudia juu ya kichwa chako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 1:7Ndipo Adoni-Bezeki akasema, “Nimewatendea wafalme sabini kama nilivyotendewa na kuwalisha makombo ya chakula chini ya meza yangu. Sasa Mungu amenilipa haya, kama yale niliyowatendea.” Wakamleta Yerusalemu, naye akafa huko.
Psalms 110:5Bwana yuko mkono wako wa kuume, 2 atawaponda wafalme siku ya ghadhabu yake. 1
Proverbs 5:22Matendo mabaya ya mtu mwovu humnasa yeye mwenyewe; 2 kamba za dhambi yake humkamata kwa nguvu. 1
Jeremiah 12:14Hili ndilo asemalo Bwana: “Kwa habari ya majirani zangu wote wabaya wanaonyangʼanya urithi ambao ninawapa watu wangu Israeli, nitawangʼoa kutoka nchi zao, nami nitaingʼoa nyumba ya Yuda kutoka katikati yao.
Jeremiah 49:12Hili ndilo asemalo Bwana: “Kama wale wasiostahili kukinywea kikombe ni lazima wakinywe, kwa nini wewe usiadhibiwe? Hutakwepa kuadhibiwa, ni lazima ukinywe.
Lamentations 4:21Shangilia na ufurahi, ee Binti Edomu, 2 wewe unayeishi nchi ya Usi. 1 Lakini kwako pia kikombe kitapitishwa, 2 Utalewa na kuvuliwa nguo ubaki uchi. 1