Obadia 1:16
Kama vile ulivyokunywa juu ya mlima wangu mtakatifu, 2 vivyo hivyo mataifa yote watakunywa mfululizo, 1 watakunywa na kunywa, 2 nao watatoweka kana kwamba hawajawahi kuwepo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 8:9Inueni kilio cha vita, enyi mataifa, 2 na mkavunjwevunjwe! 2 Sikilizeni, enyi nyote nchi za mbali. 1 Jiandaeni kwa vita, nanyi mkavunjwevunjwe! 2 Jiandaeni kwa vita, nanyi mkavunjwevunjwe! 1
Isaiah 42:14“Kwa muda mrefu nimenyamaza kimya, 2 nimekaa kimya na kujizuia. 1 Lakini sasa, kama mwanamke wakati wa kujifungua, 2 ninapiga kelele, ninatweta na kushusha pumzi. 1
Isaiah 51:22Hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi wako, 2 Mungu wako, yeye ambaye huwatetea watu wake: 1 “Tazama, nimeondoa mkononi mwako 2 kikombe kilichokufanya uyumbayumbe; 1 kutoka kikombe hicho, 2 kikombe cha kunywa cha ghadhabu yangu, 2 kamwe hutakunywa tena. 1
Jeremiah 25:27“Kisha uwaambie, ‘Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: Kunyweni, mlewe na mtapike; angukeni, wala msiinuke tena kwa sababu ya upanga nitakaotuma miongoni mwenu.’
Jeremiah 49:12Hili ndilo asemalo Bwana: “Kama wale wasiostahili kukinywea kikombe ni lazima wakinywe, kwa nini wewe usiadhibiwe? Hutakwepa kuadhibiwa, ni lazima ukinywe.
Joel 3:17“Ndipo mtakapojua kwamba Mimi, Bwana Mungu wenu, 2 nakaa Sayuni, mlima wangu mtakatifu. 1 Yerusalemu utakuwa mtakatifu; 2 kamwe wageni hawatavamia tena. 1