The Bible Software
bible.softwareObadiahObadiah 1 › Obadiah 1:2

Obadiah 1:2

“Angalieni, nitawafanya wadogo miongoni mwa mataifa, 2 mtadharauliwa kabisa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, I have made thee small among the heathen: thou art greatly despised.

In Context

1Maono ya Obadia. Hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi kuhusu Edomu: 1 Tumesikia ujumbe kutoka kwa Bwana: 2 Mjumbe alitumwa kwa mataifa kusema, 1 “Inukeni, twendeni tukapigane vita dhidi yake.” 1

3Kiburi cha moyo wako kimekudanganya, 2 wewe unayeishi katika majabali ya miamba 2 na kufanya makao yako juu, 1 wewe unayejiambia mwenyewe, 2 ‘Ni nani awezaye kunishusha chini?’ 1

Read all of Obadiah 1

Cross References

1 Samuel 2:7Bwana humfanya mtu maskini naye hutajirisha, 2 hushusha na hukweza. 1

Psalms 107:39Kisha hesabu yao ilipungua, na walinyenyekeshwa 2 kwa kuonewa, maafa na huzuni. 1

Jeremiah 49:15“Sasa nitakufanya uwe mdogo miongoni mwa mataifa, 2 aliyedharauliwa miongoni mwa watu. 1

Micah 7:10Kisha adui yangu ataliona 2 naye atafunikwa na aibu, 1 yule aliyeniambia, 2 “Yu wapi Bwana Mungu wako?” 1 Macho yangu yataona kuanguka kwake, 2 hata sasa atakanyagwa chini ya mguu 2 kama tope barabarani. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Obadiah 1:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Obadiah 1:1Obadiah 1Obadiah 1:3 →