Wafilipi 1:9
Haya ndiyo maombi yangu: kwamba upendo wenu uongezeke zaidi na zaidi katika maarifa na ufahamu wote,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And this I pray, that your love may abound yet more and more in knowledge and in all judgment;
In Context
8Mungu ni shahidi wangu jinsi ninavyowaonea shauku ninyi nyote kwa huruma ya Kristo Yesu.
10ili mpate kutambua yale yaliyo mema, mkawe safi, wasio na hatia hadi siku ya Kristo,
Cross References
Proverbs 4:18Njia ya wenye haki ni kama nuru ya kwanza ya mapambazuko, 2 ambayo hungʼaa zaidi na zaidi mpaka mchana mkamilifu. 1
1 Corinthians 14:20Ndugu zangu, msiwe kama watoto katika kufikiri kwenu, afadhali kuhusu uovu mwe kama watoto wachanga, lakini katika kufikiri kwenu, mwe watu wazima.
Ephesians 5:17Kwa hiyo msiwe wajinga, bali mpate kujua nini mapenzi ya Bwana.
Colossians 1:9Kwa sababu hii, tangu siku ile tuliposikia habari zenu, hatujakoma kuomba kwa ajili yenu na kumsihi Mungu awajaze ninyi maarifa ya mapenzi yake katika hekima yote ya kiroho na ufahamu.
1 Thessalonians 3:12Bwana na auongeze upendo wenu na kuuzidisha kati yenu na kwa wengine wote, kama vile tulivyo na upendo mwingi kwenu.
1 Thessalonians 4:9Sasa kuhusu upendo wa ndugu hamna haja mtu yeyote kuwaandikia, kwa maana ninyi wenyewe mmefundishwa na Mungu kupendana.