Wafilipi 1:24
Lakini kwa sababu yenu ni muhimu zaidi mimi nikiendelea kuishi katika mwili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Nevertheless to abide in the flesh is more needful for you.
In Context
Cross References
John 16:7Lakini nawaambia kweli, yafaa mimi niondoke, kwa kuwa nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu, lakini nikienda nitamtuma kwenu.
Philippians 1:22Kama nitaendelea kuishi katika mwili, kwangu hili ni kwa ajili ya matunda ya kazi. Lakini sijui nichague lipi? Mimi sijui!