Wafilipi 1:22
Kama nitaendelea kuishi katika mwili, kwangu hili ni kwa ajili ya matunda ya kazi. Lakini sijui nichague lipi? Mimi sijui!
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But if I live in the flesh, this is the fruit of my labour: yet what I shall choose I wot not.
In Context
21Kwa maana kwangu mimi, kuishi ni Kristo, na kufa ni faida.
Cross References
Genesis 39:8Lakini Yosefu akakataa. Akamwambia yule mwanamke, “Mimi nikiwa katika uongozi, bwana wangu hahusiki na kitu chochote katika nyumba hii, kila kitu alicho nacho amenikabidhi.
Psalms 71:18Ee Mungu, usiniache, 2 hata niwapo mzee wa mvi, 1 mpaka nitangaze uwezo wako kwa kizazi kijacho, 2 nguvu zako kwa wote watakaokuja baadaye. 1
Acts 3:17“Sasa ndugu zangu, najua ya kuwa ninyi mlitenda bila kujua, kama walivyofanya viongozi wenu.
2 Corinthians 10:3Ingawa tunaishi duniani, hatupigani vita kama ulimwengu ufanyavyo.
Philippians 1:24Lakini kwa sababu yenu ni muhimu zaidi mimi nikiendelea kuishi katika mwili.
1 Peter 4:2Kwa hivyo, haishi maisha yake yaliyobaki ya kuishi hapa duniani kwa tamaa mbaya za wanadamu, bali anaishi kwa mapenzi ya Mungu.