Wafilipi 1:23
Ninavutwa kati ya mambo mawili: Ninatamani kuondoka nikakae pamoja na Kristo, jambo hilo ni bora zaidi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
24Lakini kwa sababu yenu ni muhimu zaidi mimi nikiendelea kuishi katika mwili.
Cross References
Job 19:26Nami baada ya ngozi yangu kuharibiwa, 2 bado nikiwa na mwili huu nitamwona Mungu; 1
Psalms 17:15Na mimi katika haki nitauona uso wako, 2 niamkapo, nitaridhika kwa kuona sura yako.
Psalms 73:24Unaniongoza kwa shauri lako, 2 hatimaye utaniingiza katika utukufu. 1
Luke 8:38Yule mtu aliyetokwa na pepo wachafu akamsihi Yesu afuatane naye, lakini Yesu akamuaga, akamwambia:
Luke 23:43Yesu akamjibu, “Amin, nakuambia, leo hii utakuwa pamoja nami Paradiso.” + 23:43 Paradiso maana yake bustani nzuri, hapa ina maana mahali zinapokwenda roho za wacha Mungu, yaani watakatifu. 1 Kifo Cha Yesu (Mathayo 27:45-56; Marko 15:33-41; Yohana 19:28-30)
John 13:1Ilikuwa mara tu kabla ya Sikukuu ya Pasaka. Yesu alijua ya kuwa wakati wake wa kuondoka ulimwenguni ili kurudi kwa Baba umewadia. Alikuwa amewapenda watu wake waliokuwa ulimwenguni, naam, aliwapenda hadi kipimo cha mwisho.