The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 24 › Proverbs 24:2

Proverbs 24:2

kwa maana mioyo yao hupanga mambo ya jeuri, 2 nayo midomo yao husema juu ya kuleta madhara. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For their heart studieth destruction, and their lips talk of mischief.

In Context

1Usiwaonee wivu watu waovu, 2 usitamani ushirika nao; 1

3Kwa hekima nyumba hujengwa, 2 nayo kwa njia ya ufahamu huimarishwa 1

Read all of Proverbs 24

Cross References

Esther 3:6Hata hivyo baada ya kujulishwa watu wa Mordekai ni akina nani, alibadili wazo la kumuua Mordekai peke yake. Badala yake Hamani alitafuta njia ya kuwaangamiza watu wote wa Mordekai, yaani, Wayahudi, walio katika ufalme wote wa Ahasuero.

Psalms 7:14Yeye aliye na mimba ya uovu 2 na achukuaye mimba ya ghasia huzaa uongo. 1

Psalms 28:3Usiniburute pamoja na waovu, 2 pamoja na hao watendao mabaya, 1 ambao huzungumza na jirani zao maneno mazuri, 2 lakini mioyoni mwao wameficha chuki. 1

Psalms 64:4Hurusha mishale kutoka kwenye mavizio kwa mtu asiye na hatia, 2 humrushia ghafula bila woga. 1

Proverbs 1:10Mwanangu, kama wenye dhambi wakikushawishi, 2 usikubaliane nao. 1

Proverbs 24:8Yeye apangaye mabaya 2 atajulikana kama mtu wa hila. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 24:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 24:1Proverbs 24Proverbs 24:3 →