Proverbs 9:6
Acheni njia zenu za ujinga nanyi mtaishi; 2 tembeeni katika njia ya ufahamu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Forsake the foolish, and live; and go in the way of understanding.
In Context
5Njooni, mle chakula changu 2 na mnywe divai niliyoichanganya. 1
Cross References
Psalms 45:10Sikiliza, ewe binti, fikiri na utege sikio: 2 Sahau watu wako na nyumba ya baba yako. 1
Proverbs 4:11Ninakuongoza katika njia ya hekima 2 na kukuongoza katika mapito yaliyonyooka. 1
Proverbs 8:35Kwa maana yeyote anipataye mimi amepata uzima 2 na kujipatia kibali kutoka kwa Bwana. 1
Proverbs 10:17Anayekubali kuadibishwa yuko katika njia ya uzima, 2 lakini yeyote anayepuuza maonyo hupotosha wengine. 1
Matthew 7:13“Ingieni kupitia mlango mwembamba, kwa maana lango ni pana na njia ni pana ielekeayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa kupitia lango hilo.
Acts 2:40Petro akawaonya kwa maneno mengine mengi na kuwasihi akisema, “Jiepusheni na kizazi hiki kilichopotoka.”