Proverbs 4:14
Usiuweke mguu wako katika njia ya waovu 2 wala usitembee katika njia ya watu wabaya. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Enter not into the path of the wicked, and go not in the way of evil men.
In Context
13Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; 2 mshike, maana yeye ni uzima wako. 1
15Epukana nayo, usisafiri katika njia hiyo; 2 achana nayo, na uelekee njia yako. 1
Cross References
Psalms 26:4Siketi pamoja na watu wadanganyifu, 2 wala siandamani na wanafiki, 1
Proverbs 1:15Mwanangu, usiandamane nao. 2 Usiweke mguu wako katika njia zao, 1
Proverbs 5:8Njia zenu ziwe mbali naye, 2 msiende karibu na mlango wa nyumba yake, 1
Proverbs 9:6Acheni njia zenu za ujinga nanyi mtaishi; 2 tembeeni katika njia ya ufahamu. 1
Proverbs 22:25la sivyo utajifunza njia zake 2 na kujiingiza mwenyewe kwenye mtego. 1
1 Corinthians 15:33Msidanganyike: “Ushirika na watu wabaya huharibu tabia njema.”