The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 1 › Proverbs 1:27

Proverbs 1:27

wakati janga litawapata kama tufani, 2 wakati maafa yatawazoa kama upepo wa kisulisuli, 2 wakati dhiki na taabu zitawalemea. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

When your fear cometh as desolation, and your destruction cometh as a whirlwind; when distress and anguish cometh upon you.

In Context

26mimi nami nitawacheka katika maafa yenu, 2 nitawadhihaki wakati janga litawapata: 1

28“Ndipo watakaponiita lakini sitawajibu; 2 watanitafuta lakini hawatanipata. 1

Read all of Proverbs 1

Cross References

Psalms 58:9Kabla vyungu vyenu havijapata moto wa kuni za miiba, 2 zikiwa mbichi au kavu, 1 waovu watakuwa 2 wamefagiliwa mbali. 1

Proverbs 3:25Usiogope maafa ya ghafula 2 au maangamizi yanayowapata waovu, 1

Proverbs 10:25Tufani inapopita, waovu hutoweka, 2 lakini wenye haki husimama imara milele. 1

Jeremiah 23:19Tazama, dhoruba ya Bwana 2 itapasuka kwa ghadhabu, 1 kisulisuli kitazunguka na kuanguka 2 vichwani vya waovu. 1

Luke 21:23Ole wao wenye mimba na wale wanaonyonyesha watoto siku hizo! Kutakuwa na dhiki kuu katika nchi na ghadhabu juu ya hawa watu.

Romans 2:9Kutakuwa na taabu na dhiki kwa kila mmoja atendaye maovu, Myahudi kwanza na mtu wa Mataifa pia,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 1:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 1:26Proverbs 1Proverbs 1:28 →