Proverbs 10:25
Tufani inapopita, waovu hutoweka, 2 lakini wenye haki husimama imara milele. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
As the whirlwind passeth, so is the wicked no more: but the righteous is an everlasting foundation.
In Context
24Kile anachoogopa mwovu ndicho kitakachompata; 2 kile anachoonea shauku mwenye haki atapewa. 1
26Kama siki ilivyo kwa meno na moshi kwa macho, 2 ndivyo alivyo mvivu kwa wale waliomtuma. 1
Cross References
Job 17:9Hata hivyo, waadilifu watazishika njia zao, 2 nao wale wenye mikono safi wataendelea kupata nguvu. 1
Job 21:18Ni mara ngapi huwa kama majani makavu mbele ya upepo, 2 kama makapi yachukuliwayo na dhoruba? 1
Psalms 15:5Yeye akopeshaye fedha yake bila riba, 2 na hapokei rushwa dhidi ya mtu asiye na hatia. 1 Mtu afanyaye haya 2 kamwe hatatikisika.
Psalms 58:9Kabla vyungu vyenu havijapata moto wa kuni za miiba, 2 zikiwa mbichi au kavu, 1 waovu watakuwa 2 wamefagiliwa mbali. 1
Psalms 73:18Hakika unawaweka mahali pa utelezi, 2 unawaangusha chini kwa uharibifu. 1
Proverbs 1:27wakati janga litawapata kama tufani, 2 wakati maafa yatawazoa kama upepo wa kisulisuli, 2 wakati dhiki na taabu zitawalemea. 1