The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 1 › Proverbs 1:26

Proverbs 1:26

mimi nami nitawacheka katika maafa yenu, 2 nitawadhihaki wakati janga litawapata: 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I also will laugh at your calamity; I will mock when your fear cometh;

In Context

25kwa kuwa mliyapuuza mashauri yangu yote 2 na hamkukubali karipio langu, 1

27wakati janga litawapata kama tufani, 2 wakati maafa yatawazoa kama upepo wa kisulisuli, 2 wakati dhiki na taabu zitawalemea. 1

Read all of Proverbs 1

Cross References

Deuteronomy 28:63Kama ilivyompendeza Bwana kuwafanya ninyi mstawi na kuongezeka kwa idadi, ndivyo itakavyompendeza kuwaharibu na kuwaangamiza ninyi. Mtangʼolewa kutoka nchi mnayoiingia kuimiliki.

Psalms 2:4Yeye atawalaye mbinguni hucheka, 2 Bwana huwadharau. 1

Proverbs 3:34Huwadhihaki wale wanaodhihaki, 2 lakini huwapa neema wale wanyenyekevu. 1

Proverbs 10:24Kile anachoogopa mwovu ndicho kitakachompata; 2 kile anachoonea shauku mwenye haki atapewa. 1

Proverbs 19:29Adhabu zimeandaliwa kwa ajili ya wenye dhihaka 2 na mapigo kwa ajili ya migongo ya wapumbavu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 1:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 1:25Proverbs 1Proverbs 1:27 →