Proverbs 10:13
Hekima hupatikana katika midomo ya wenye kupambanua, 2 lakini fimbo ni kwa ajili ya mgongo wake asiye na ufahamu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Chuki huchochea faraka, 2 lakini upendo husitiri mabaya yote. 1
14Wenye hekima huhifadhi maarifa, 2 bali kinywa cha mpumbavu hualika maangamizi. 1
Cross References
Exodus 10:12Basi Bwana akamwambia Mose, “Nyoosha mkono wako juu ya Misri ili kundi la nzige liweze kuingia juu ya nchi na kutafuna kila kitu kiotacho katika mashamba na kila kitu kilichosazwa na ile mvua ya mawe.”
Proverbs 6:32Lakini mwanaume aziniye na mwanamke hana akili kabisa; 2 yeyote afanyaye hivyo hujiangamiza mwenyewe. 1
Proverbs 10:10Yeye akonyezaye kwa nia mbaya husababisha huzuni, 2 naye mpumbavu apayukaye huangamia. 1
Proverbs 10:31Kinywa cha mwenye haki hutoa hekima, 2 bali ulimi wa upotovu utakatwa. 1
Proverbs 15:23Mtu hupata furaha katika kutoa jibu linalofaa: 2 je, ni zuri namna gani neno lililotoka kwa wakati wake! 1
Proverbs 17:10Karipio humwingia sana mtu mwenye kutambua 2 kuliko mapigo mia kwa mpumbavu. 1