Proverbs 10:8
Mwenye hekima moyoni hupokea maagizo, 2 lakini mpumbavu apayukaye huangamia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The wise in heart will receive commandments: but a prating fool shall fall.
In Context
7Kumbukumbu ya mwenye haki itakuwa baraka, 2 lakini jina la mwovu litaoza. 1
9Mtu mwadilifu hutembea salama, 2 lakini mtu aendaye katika njia zilizopotoka atagunduliwa. 1
Cross References
Psalms 119:34Nipe ufahamu, nami nitaishika sheria yako 2 na kuitii kwa moyo wangu wote. 1
Proverbs 9:9Mfundishe mtu mwenye hekima 2 naye atakuwa na hekima zaidi; 1 mfundishe mtu mwadilifu 2 naye atazidi kufundishika. 1
Proverbs 12:1Yeyote apendaye kuadibishwa hupenda maarifa, 2 bali yeye achukiaye kuonywa ni mpumbavu. 1
Proverbs 13:3Yeye alindaye midomo yake hulinda nafsi yake, 2 bali yeye asemaye kwa haraka ataangamia. 1
Proverbs 14:23Kazi zote zinazofanywa kwa bidii huleta faida, 2 bali mazungumzo matupu huelekea umaskini tu. 1
Proverbs 18:7Kinywa cha mpumbavu ni uharibifu wake 2 na midomo yake ni mtego kwa nafsi yake. 1