Proverbs 16:22
Ufahamu ni chemchemi ya uzima kwa wale walio nao, 2 bali upumbavu huleta adhabu kwa wapumbavu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Understanding is a wellspring of life unto him that hath it: but the instruction of fools is folly.
In Context
21Wenye hekima moyoni huitwa wenye ufahamu, 2 na maneno ya kupendeza huchochea mafundisho. 1
23Moyo wa mtu mwenye hekima huongoza kinywa chake, 2 na midomo yake huchochea mafundisho. 1
Cross References
Proverbs 10:11Kinywa cha mwenye haki ni chemchemi ya uzima, 2 lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu. 1
Proverbs 14:27Kumcha Bwana ni chemchemi ya uzima, 2 ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti. 1
Proverbs 15:28Moyo wa mwenye haki hupima majibu yake, 2 bali kinywa cha mwovu hufoka ubaya. 1
Proverbs 18:7Kinywa cha mpumbavu ni uharibifu wake 2 na midomo yake ni mtego kwa nafsi yake. 1
Matthew 23:16“Ole wenu, viongozi vipofu! Ninyi mwasema, ‘Mtu akiapa kwa Hekalu, kiapo hicho si kitu; lakini mtu akiapa kwa dhahabu ya Hekalu, amefungwa kwa kiapo chake.’
John 5:24“Amin, amin nawaambia, yeyote anayesikia maneno yangu na kumwamini yeye aliyenituma, anao uzima wa milele, naye hatahukumiwa, bali amepita kutoka mautini, na kuingia uzimani.