Proverbs 11:17
Mwenye huruma hujinufaisha mwenyewe, 2 bali mkatili hujiletea taabu mwenyewe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The merciful man doeth good to his own soul: but he that is cruel troubleth his own flesh.
In Context
16Mwanamke mwenye moyo wa huruma hupata heshima, 2 bali wanaume wakorofi hupata mali tu. 1
18Mtu mwovu hupata ujira wa udanganyifu, 2 bali yeye apandaye haki huvuna tuzo ya uhakika. 1
Cross References
Job 20:16Atanyonya sumu za majoka; 2 meno ya nyoka mwenye sumu kali yatamuua. 1
Psalms 41:1Heri mtu yule anayemjali mnyonge, 2 Bwana atamwokoa wakati wa shida. 1
Psalms 112:4Hata gizani nuru humzukia mtu mwadilifu, 2 yule mwenye rehema, huruma na haki. 1
Proverbs 22:9Mtu mkarimu yeye mwenyewe atabarikiwa 2 kwa kuwa hushiriki chakula chake na maskini. 1
Isaiah 32:7Taratibu za mtu mbaya kabisa ni ovu, 2 hufanya mipango miovu 1 ili kumwangamiza maskini kwa uongo, 2 hata wakati ambapo hoja za mhitaji ni za haki. 1
Isaiah 58:7Je, sio kushirikiana chakula chako na wenye njaa 2 na kuwapatia maskini wasiokuwa na makao hifadhi, 1 unapomwona aliye uchi, umvike, 2 wala si kumkimbia mtu wa nyama na damu yako mwenyewe? 1