Proverbs 11:16
Mwanamke mwenye moyo wa huruma hupata heshima, 2 bali wanaume wakorofi hupata mali tu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A gracious woman retaineth honour: and strong men retain riches.
In Context
15Yeye amdhaminiye mgeni hakika atateseka, 2 bali yeyote akataaye kuunga mkono dhamana ni salama. 1
17Mwenye huruma hujinufaisha mwenyewe, 2 bali mkatili hujiletea taabu mwenyewe. 1
Cross References
1 Samuel 25:40Watumishi wa Daudi wakaenda mpaka Karmeli na kumwambia Abigaili, wakisema, “Daudi ametutuma kwako kukuchukua uwe mkewe.”
Esther 9:25Lakini wakati shauri hilo baya lilipoarifiwa kwa mfalme, alitoa amri iliyoandikwa kwamba mipango mibaya ambayo Hamani ameipanga dhidi ya Wayahudi inapasa imrudie juu ya kichwa chake mwenyewe, na kwamba yeye na wanawe waangikwe mahali pa kunyongea watu.
Amos 3:9Tangazeni katika ngome za Ashdodi 2 na katika ngome za Misri: 1 “Kusanyikeni juu ya milima ya Samaria; 2 angalieni wingi wa wasiwasi ulio ndani yake, 2 na uonevu ulio miongoni mwa watu wake.” 1
Matthew 26:13Amin, nawaambia, mahali popote ulimwenguni ambapo hii Injili itahubiriwa, jambo hili alilolitenda huyu mwanamke litatajwa pia kwa ukumbusho wake.” 1 Yuda Akubali Kumsaliti Yesu (Marko 14:10-11; Luka 22:3-6)
Luke 10:42Lakini kunahitajika kitu kimoja tu. Maria amechagua kile kilicho bora, wala hakuna mtu atakayemwondolea.”
Luke 21:2Akamwona pia mjane mmoja maskini akiweka humo sarafu mbili ndogo za shaba.