Proverbs 22:9
Mtu mkarimu yeye mwenyewe atabarikiwa 2 kwa kuwa hushiriki chakula chake na maskini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He that hath a bountiful eye shall be blessed; for he giveth of his bread to the poor.
In Context
8Yeye aupandaye uovu huvuna taabu, 2 nayo fimbo ya ghadhabu yake itaangamizwa. 1
10Mfukuze mwenye dhihaka, 2 na mvutano utatoweka; 2 ugomvi na matukano vitakoma. 1
Cross References
Deuteronomy 28:56Mwanamke ambaye ni muungwana sana na makini miongoni mwako, yaani ambaye ni makini sana na muungwana kiasi kwamba asingethubutu kugusa ardhi kwa wayo wa mguu wake, yeye atakuwa mchoyo kwa mume ampendaye na mwanawe mwenyewe au binti yake,
Psalms 41:1Heri mtu yule anayemjali mnyonge, 2 Bwana atamwokoa wakati wa shida. 1
Proverbs 11:17Mwenye huruma hujinufaisha mwenyewe, 2 bali mkatili hujiletea taabu mwenyewe. 1
Proverbs 11:27Yeye atafutaye mema hupata ukarimu, 2 bali ubaya huja kwake yeye autafutaye. 1
Proverbs 19:17Yeye amhurumiaye maskini humkopesha Bwana, 2 naye atamtuza kwa aliyotenda. 1
Proverbs 28:24Yeye amwibiaye babaye au mamaye 2 na kusema, “Si kosa,” 2 yeye ni mwenzi wa yule aharibuye. 1