Proverbs 11:18
Mtu mwovu hupata ujira wa udanganyifu, 2 bali yeye apandaye haki huvuna tuzo ya uhakika. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The wicked worketh a deceitful work: but to him that soweth righteousness shall be a sure reward.
In Context
17Mwenye huruma hujinufaisha mwenyewe, 2 bali mkatili hujiletea taabu mwenyewe. 1
19Mtu mwenye haki kweli kweli hupata uzima, 2 bali yeye afuatiliaye ubaya huendea kifo chake. 1
Cross References
Psalms 126:5Wapandao kwa machozi 2 watavuna kwa nyimbo za shangwe. 1
Proverbs 5:22Matendo mabaya ya mtu mwovu humnasa yeye mwenyewe; 2 kamba za dhambi yake humkamata kwa nguvu. 1
Ecclesiastes 10:8Yeye achimbaye shimo 2 aweza kutumbukia ndani yake, 1 yeyote abomoaye ukuta 2 anaweza kuumwa na nyoka. 1
Hosea 10:2Moyo wao ni mdanganyifu, 2 nao sasa lazima wachukue hatia yao. 1 Bwana atabomoa madhabahu zao 2 na kuharibu mawe yao ya ibada. 1
Galatians 6:8Apandaye kwa mwili, katika mwili wake atavuna uharibifu, lakini yeye apandaye katika Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele.
James 3:18Mavuno ya haki hupandwa katika amani na wale wafanyao amani.