Proverbs 11:20
Bwana huwachukia sana watu wenye moyo wa upotovu, 2 bali hupendezwa na wale ambao njia zao hazina lawama. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Mtu mwenye haki kweli kweli hupata uzima, 2 bali yeye afuatiliaye ubaya huendea kifo chake. 1
21Uwe na hakika na hili: Waovu hawataepuka kuadhibiwa, 2 bali wenye haki watakuwa huru. 1
Cross References
Psalms 11:7Kwa kuwa Bwana ni mwenye haki, 2 yeye hupenda haki. 2 Wanyofu watauona uso wake.
Psalms 51:6Hakika wewe wapendezwa na kweli itokayo moyoni, 2 ndani sana ya moyo wangu wanifundisha hekima. 1
Psalms 140:13Hakika wenye haki watalisifu jina lako, 2 na waadilifu wataishi mbele zako.
Proverbs 6:16Kuna vitu sita anavyovichukia Bwana, 2 naam, viko saba vilivyo chukizo kwake: 3
Proverbs 9:7“Yeyote anayemkosoa mwenye mzaha 2 hukaribisha matukano; 1 yeyote anayekemea mtu mwovu 2 hupatwa na matusi. 1
Proverbs 13:6Haki humlinda mtu mwadilifu, 2 bali uovu humwangusha mwenye dhambi. 1