Proverbs 13:2
Kutoka tunda la midomo yake mtu hufurahia mambo mema, 2 bali wasio waaminifu wanatamani sana jeuri. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Mwana mwenye hekima husikia mafundisho ya babaye, 2 bali mwenye dharau hasikilizi maonyo. 1
3Yeye alindaye midomo yake hulinda nafsi yake, 2 bali yeye asemaye kwa haraka ataangamia. 1
Cross References
Psalms 75:8Mkononi mwa Bwana kuna kikombe 2 kilichojaa mvinyo unaotoka povu 2 uliochanganywa na vikolezo; 1 huumimina, nao waovu wote wa dunia 2 hunywa mpaka tone la mwisho. 1
Proverbs 1:11Kama wakisema, “Twende tufuatane; 2 tukamvizie mtu na kumwaga damu, 2 njoo tukavizie nafsi isiyo na hatia; 1
Proverbs 1:31watakula matunda ya njia zao, 2 na watashibishwa matunda ya hila zao. 1
Proverbs 10:11Kinywa cha mwenye haki ni chemchemi ya uzima, 2 lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu. 1
Proverbs 12:14Kutokana na tunda la midomo yake 2 mtu hujazwa na mambo mema, 2 hakika kama ilivyo kazi ya mikono yake humtunza. 1
Jeremiah 25:27“Kisha uwaambie, ‘Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: Kunyweni, mlewe na mtapike; angukeni, wala msiinuke tena kwa sababu ya upanga nitakaotuma miongoni mwenu.’