Proverbs 11:7
Wakati mtu mwovu anapokufa, matumaini yake hutoweka; 2 yote aliyoyatazamia kutokana na nguvu zake huwa si kitu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When a wicked man dieth, his expectation shall perish: and the hope of unjust men perisheth.
In Context
6Haki ya wanyofu huwaokoa, 2 bali wasio waaminifu hunaswa na tamaa mbaya. 1
8Mtu mwenye haki huokolewa kutoka taabu, 2 naye mtu mwovu huingia humo badala yake. 1
Cross References
Exodus 15:9“Adui alijivuna, 2 ‘Nitawafuatia, nitawapata. 1 Nitagawanya nyara; 2 nitajishibisha kwa wao. 1 Nitafuta upanga wangu 2 na mkono wangu utawaangamiza.’ 1
Job 11:20Bali macho ya waovu hayataona, 2 wokovu utawaepuka; 1 tarajio lao litakuwa ni hangaiko 2 la mtu anayekata roho.”
Proverbs 10:28Tarajio la mwenye haki ni furaha, 2 bali matumaini ya mwovu huwa si kitu. 1
Proverbs 14:32Waovu huangamizwa kwa matendo yao maovu, 2 bali hata katika kifo wenye haki hupata kimbilio. 1
Luke 12:19Nami nitaiambia nafsi yangu, “Nafsi, unavyo vitu vingi vizuri ulivyojiwekea akiba kwa miaka mingi. Pumzika; kula, unywe, ufurahi.” ’