Proverbs 12:16
Mpumbavu huonyesha kuudhika kwake mara moja, 2 bali mtu wa busara hupuuza matukano. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A fool’s wrath is presently known: but a prudent man covereth shame.
In Context
17Shahidi wa kweli hutoa ushuhuda wa kuaminika, 2 bali shahidi wa uongo husema uongo. 1
Cross References
1 Kings 19:1Ahabu akamwambia Yezebeli kila kitu Eliya alichokuwa amefanya na jinsi alivyowaua manabii wote kwa upanga.
Proverbs 14:33Hekima hukaa katika moyo wa mwenye ufahamu 2 bali haijulikani miongoni mwa wapumbavu. 1
Proverbs 17:9Yeye anayesamehe kosa hudumisha upendo, 2 bali yeyote arudiaye jambo hutenganisha marafiki wa karibu. 1
Proverbs 29:11Mpumbavu huonyesha hasira yake yote, 2 bali mwenye hekima hujizuia. 1