Proverbs 12:22
Bwana anachukia sana midomo idanganyayo, 2 bali hufurahia watu ambao ni wa kweli. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Lying lips are abomination to the LORD: but they that deal truly are his delight.
In Context
21Hakuna dhara linalompata mwenye haki, 2 bali waovu wana taabu nyingi. 1
Cross References
Psalms 5:6Unawaangamiza wasemao uongo. 2 Bwana huwachukia 2 wamwagao damu na wadanganyifu. 1
Proverbs 6:17macho ya kiburi, 3 ulimi udanganyao, 3 mikono imwagayo damu isiyo na hatia, 3
Proverbs 11:20Bwana huwachukia sana watu wenye moyo wa upotovu, 2 bali hupendezwa na wale ambao njia zao hazina lawama. 1
Isaiah 9:15Wazee na watu mashuhuri ndio vichwa, 2 nao manabii wanaofundisha uongo ndio mkia. 1
Ezekiel 13:19Ninyi mmeninajisi miongoni mwa watu wangu kwa ajili ya konzi chache za shayiri na chembe za mkate. Kwa kuwaambia uongo watu wangu, wale ambao husikiliza uongo, mmewaua wale watu ambao wasingekufa na kuwaacha hai wale ambao wasingeishi.
Revelation 21:8Lakini waoga, wasioamini, wachafu, wauaji, wazinzi, wachawi, waabudu sanamu, pamoja na waongo wote, mahali pao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.”