Proverbs 14:5
Shahidi mwaminifu hadanganyi, 2 bali shahidi wa uongo humimina uongo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A faithful witness will not lie: but a false witness will utter lies.
In Context
4Pale ambapo hakuna mafahali, hori ni tupu, 2 bali kutokana na nguvu za fahali huja mavuno mengi. 1
6Mwenye mzaha huitafuta hekima na haipati, 2 bali maarifa huja kwa urahisi kwa anayepambanua. 1
Cross References
Exodus 23:1“Usieneze habari za uongo. Usimsaidie mtu mwovu kwa kuwa shahidi mwenye nia ya kudhuru wengine.
1 Kings 22:12Manabii wengine wote walikuwa wanatabiri kitu hicho hicho wakisema, “Ishambulie Ramoth-Gileadi na uwe mshindi. Kwa kuwa Bwana ataitia mkononi mwa mfalme.”
Proverbs 12:17Shahidi wa kweli hutoa ushuhuda wa kuaminika, 2 bali shahidi wa uongo husema uongo. 1
Proverbs 14:25Shahidi wa kweli huokoa maisha, 2 bali shahidi wa uongo ni mdanganyifu. 1
Proverbs 19:9Shahidi wa uongo hataacha kuadhibiwa, 2 naye amwagaye uongo ataangamia. 1