Proverbs 14:3
Mazungumzo ya mpumbavu huleta fimbo mgongoni mwake, 2 bali mwenye hekima hulindwa na maneno ya midomo yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In the mouth of the foolish is a rod of pride: but the lips of the wise shall preserve them.
In Context
4Pale ambapo hakuna mafahali, hori ni tupu, 2 bali kutokana na nguvu za fahali huja mavuno mengi. 1
Cross References
Job 5:21Utalindwa kutokana na kichapo cha ulimi, 2 wala hutakuwa na sababu ya kuogopa maangamizi yatakapokujia. 1
Psalms 31:18Midomo yao isemayo uongo na inyamazishwe, 2 kwa maana kwa kiburi na dharau 1 wao husema kwa majivuno 2 dhidi ya wenye haki. 1
Psalms 57:4Niko katikati ya simba, 2 nimelala katikati ya wanyama wenye njaa kuu: 2 watu ambao meno yao ni mikuki na mishale, 2 ambao ndimi zao ni panga kali. 1
Proverbs 13:3Yeye alindaye midomo yake hulinda nafsi yake, 2 bali yeye asemaye kwa haraka ataangamia. 1
Proverbs 18:7Kinywa cha mpumbavu ni uharibifu wake 2 na midomo yake ni mtego kwa nafsi yake. 1
Proverbs 22:8Yeye aupandaye uovu huvuna taabu, 2 nayo fimbo ya ghadhabu yake itaangamizwa. 1